DUH! SIJA WATENGA! AU? Nitaandika baadaye kidogo nanihii! Lakini...........
>> Thursday, November 22, 2007
Nimebanwa kinamna, ingawa ndani ya kubanwa, mida mida nilifanikiwa kukutana na ... na kuliwazwa na ......
DUH!
Kabla sijakutonya ...
Twende JAPAN tumsikilize PUSHIM
akikupa THE RACE OF LOVE
Sasaaaaaaaaaaaaa......
Pata ambao wako nami ingawa sija.....
Kutoka CUBA
GRUPO SON CON SON na Cuban Ambassador
DUH!
Pumzika basi!
AU!
Ngojea basi SAIDA KAROLI atuleteee...
DUH!
Tuendeleee.....
,,,,.... na Wadau ambao pamoja na kushindwa kwangu kuandiaka mawazo wame.....
Ronaldo , Mzee wa London
Mkuu wa Kikao aka Raymond
Byamungu EEH!
DUH!
Original WAX
Mtimkubwa aka Fidelis na anayejisogeza:-)
Erick aka PRODUCER
Wax na CHE
Edo
Mghosi! Avae urewedi!:-) Hi aho!:-) Du ndugu yangu nahitaji shule kidogo kabla sija piga forighoko!:)
Erick aka Filosofa
DUH !
Naacha kuelezea ..
Pumzika kidogo na THE CARDIGANS
Picha zaidi kidogo...........
DUH!
Najua umestukia naweka picha kutokana na uvivu wa kuandika.
Lakini eeH!
Naacha maswala ya picha. Narudi na kilicho mawazoni baada ya masaa kadhaa...
DUH!
Ngojea nikuache tu na kitu fulani...
AU?
Mpate Werrason
2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
habari za huko.nipo Tanzania Daima nitembeleeni www.ngowil.blogspot.com
Nimepita....
Post a Comment