Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kuhusu MAHUSIANO YAKO WEWE NA WEWE!

>> Friday, November 02, 2007

Hujambo Mdau!
Nacheki tu kama uhusiano wako na wewe mwenyewe ni mzuri.

Si unajua najifanya najali?:-)

Mara nyingi tunahusisha swala la uhusiano , kama ni swala lihusulo sisi na wale au yule.
Ni rahisi kusahau kucheki uhusiano wangu na mimi ukoje!

Swali:

  • Mimi ni nini?
  • Ushahisi kuwa uhusiano wako na yule unawezekana pia ukawa si mzuri ingawa ndio eneo ulilotilia maanani kuliko uhusiano wako na wewe?
Kwetu siye waswahili ni rahisi ukawa uko mahututi hospitalini , lakini ukiulizwa una hali gani, unajibu;nzuri tu!

DUH!
Wiki mwisho njema!

Sindikiza na AKON akikuambia MAMA AFRICA


0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP