Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

STAREHE YA KUVAA CHUPI YA MTUMBA!

>> Thursday, November 08, 2007

Kuna vitu fulani hata kama una shida nivigumu kujisitiri navyo.

Swali:

  • Kwanini?
DUH!

Samahani kwa kuandika neno chupi kwenye tako(samahani ! Kichwa) la habari hapo juu .

Naamini ghafla tu, inawezekana umekumbuka kisitiri faragha zaidi ya kitu ninachojaribu kukilazimisha uamini nakiongelea hapa, ambacho ni kitu kile ukisaminicho na kukiamini mpaka kuweza kukiweka karibu nawe ingawa si kipya.

Tukirudi kwenye chupi...

.......Ukisoma biblia utaambiwa kuwa kuna mtundu mmoja alikula tunda fulani ndio akafanikiwa kustukia maeneo.

Lakini ...

.. kuna makabila kadhaa duniani mpaka karne hii bado yalikuwa hayajisitiri kinamna ya kuficha maeneo ya faragha kwasababu yasionekane. Tamaduni kadhaa walistukia kuficha maeneo kwa sababu yasiumie au kuugua kirahisi na sio kwasababu jamaa atachungulia.Hawa jamaa nahisi eva wao hakulila tunda lote , alimega tu.(Ushawahi kucheki baadhi ya makabila ya Papua New Guinea mwaka huu wanavaaje?)

Maeneo fulani naamini ni vizuri tu yafichwe kutokana na yalivyokuwa rahisi kuumia au hata kuugua.

Lakini....

.... tujifanye tu kuwa ni maeneo ya ajabu, ingawa kwa Wafini ,baba na binti hawakawii kwenda sauna pamoja uchi bila kustukia hicho ni kitu cha ajabu kwetu wenye mila zenye heshima.

..tujifanye ni maeneo ya ajabu ndio maana ni noma kuyachungulia.

DUH!

Tukiacha hilo....

...ukiongelea chupi na mtumba, ni rahisi kuoanisha na kitu kikugusacho karibu na sehemu unazo zijali na kikioanishwa na vitu vilivyotumika.

Vitu vilivyotumika si vyote vibaya, ingawa wengi tunapendelea vipya.
Lakini vitu vilivyotumika wanalengeshwa masikini zaidi ya wenyenavyo.
Kitu ambacho nafikiri ni cha kisaikolojia zaidi ya ukweli wa kwamba kitu kipya kinamnufaisha mtu zaidi ya cha zamani.

Si umecheki...

....wenyenavyo wakinunua mtumba , wanabadili jina na kuita vinteji au majina fulani ili tu chupi hiyo hiyo ya mtumba ionekane kuwa ina thamani zaidi kwa sababu ilikuwa inavaliwa na mtu maarufu.

Saikoloji nyuma ya mtu ajivunaye kwa kuwa ana gari alilo kuwa anaendesha Hitler, ni sawa tu na ile ya ajivuniaye kuwa anauwezo wa kuvaa gwaguro jipya lililo na lebo GUCCI.

Swali:
  • Chupi ya mtumba isiyo na kiraka iliyooshwa vizuri, inatofauti gani na chupi iitwayo mpya ambayo hata madawa yaliyotumika kuifanya ionekane kama unavyoiona hujui?
Nisikufiche.....

....wengi wetu tunapenda vitu vipya.

Tunavisingizio vingi , kwanini kitu kipya ni bora kuliko cha zamani.
Moja ya tupendacho kusema ni kwamba , kitu kipya hakiharibiki mapema.

Lakini....

....
katika dunia ambayo tunajaza matakataka, na ambayo binadamu anajilimbikizia vitu hata asivyo vihitaji, inasikitisha kuwa ujanja ni kuvaa chupi mpya.

DUH!

Naacha!

Pata baadhi ya picha zangu na WADAU kadhaa tena!
Hakuna kipya !
Mpaka leo kama wewe ni mdau wa blogu hii ,nafikiri umestukia marafiki zangu nakutananao wapi:-)

Nina matatizo na filmloop, kwa hiyo picha ni kibao kidogo!:-(
Msikilize basi Lenny Kravitz akiwa na Jay Z kabla hujajitesa!
Wanakupa GUNS N ROSES.

DUH!

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Malizia na Lenny Kravitz akiwa na GUNS N ROSES

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Anonymous 8:32 pm  

Nice Pics! Si, ninaswali binafsi kutokana na ninavyozionaga pics zako na washikaji.

Catch me if u can hahahahha.

Dinah.

Simon Kitururu 5:51 am  
This comment has been removed by the author.
Simon Kitururu 1:04 pm  

@Dinah.Only If I knew how to catch U!:-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP