Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

LEO NI SIKU YA KUMBUKUMBU ZA UKOMBOZI WA AFRIKA!

>> Thursday, May 25, 2006


NAWATAKI WOTE HERI YA SIKU YA AFRIKA!
Safari bado ndefu ukombozi kukamilika. Naomba tuzidi kujengana na kusaidiana mpaka tutakapo fikia ukombozi kamili.

1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

mloyi 11:08 am  

Tarehe 25/05 ndiyo siku yenyewe, Ingawa hatuijali sana lakini kwa imani zetu ni siku kuu kubwa sana kwa wa-Afrika wote! Inalimgana na Kwanzaa ambayo Mwaka huu Ndesanjo iliifungia kibwenwe kuitangaza!. Sijui kwa nini hata mimi sikuikumbuka jana ingawa kuna siku nilisema siku ya afrika inakaribia.
Tukumbushane na tujumuike pamaoja.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP