Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Umestukia!

>> Saturday, March 17, 2007


Kila mtu anajua. Na ukimpa nafasi atakufundisha.
Lakini tukubalikuwa hakuna ajuae yote.
Ingawa niwepesi kufundisha,tukubali kufundishwa.

Wikiendi njema!
Duh!Unasikiliza hili chakacha la KIM
Séga cé sèl médikaman nou nana

5 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

luihamu 6:06 pm  

Mzee Simon,huku jua kali sina cha wikiendi wala nini.Wikiendi ni kwa wale wenye feza.Mimi sina wikiendi nachapa kazi tu.umesahau kama sisi ni nchi zinazoendelea?

inabidi tufanye kazi tu haya mambo ya wikiendi yametoka wapi?hebu turudi kazini na kuinua uchumi wa nchi yetu.JAH RASTAFARIAN.

Simon Kitururu 8:15 pm  

Rasta usemayo kweli. Hizi wikiendi sijui zimetoka wapi.Kazi njema!Lakini usisahau kupumzika hata kama si wikiendi. Usipopumzika akili inachoka. Akili ikichoka maamuzi yako wewe mwenyewe unaweza kukataliana nayo baadaye.

luihamu 7:58 am  

Mzee Simon,tembelea

www.saharanvibe.blogspot.com

N.B.
Sijaona mchango wako kuhusu SABASABA na kujitangaza kwa wanablogu wa kazi za wanablogu.Mwambie na Da Mija.Jah live Simon.

luihamu 3:32 pm  

Mzee Simon hauagi mkuu,unaingia mitini bila notice acha hizo mkuu angalau aga basi mkuu.

Natumai kila kitu poa.Jah guidance and protection man.

Simon Kitururu 12:31 am  

Nipo Rasta!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP