Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Katika kumbukumbu:EDWARD Moringe SOKOINE!

>> Thursday, April 12, 2012

Edward Moringe Sokoine (1 August 1938 – 12 April 1984)

R.I.P Nguli!
Mie nakukumbuka!


Habari zake zaidi kiduchu KONGOLI:...
....HAPA

4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 3:29 pm  

Hata mie naikumbuka sana siku hii tena nilikuwa darasa la tatu...na mpaka tukamtungia wimbo wa kioda ..tunamkumbuka waziri Sokoine alifariki tarehe 12 ya mwezi 4 84 kle morogoro kwa ajali ya ndeg....na kuendelea. Pumzika kwa kwa amani Sokoine.

Simon Kitururu 4:02 pm  

Jamaa wakati anafariki nilidakwa zaidi na watu walionizunguka kuhusu kwanini alikuwa spesho. Nnilivyozidi kukuua nikawa na uhakika alikuwa spesho. NB hakufa kwa ajali ya ndege lakini@Mrembo Yasinta

Yasinta Ngonyani 4:26 pm  

Haya Kadoda nimekusea kwa ajali ya gari kumbuka mimi ni binadamu na hakuna binadamu aliyekamilika. Nsaheme...

Yasinta Ngonyani 4:26 pm  

Haya Kadoda nimekusea kwa ajali ya gari kumbuka mimi ni binadamu na hakuna binadamu aliyekamilika. Nsaheme...

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

There was an error in this gadget

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP