R.I.P President BINGU wa MUTHARIKA!
>> Friday, April 06, 2012
Majirani zetu MALAWI wamefiwa na Rais!
Tukiachana na ya SIASA,...
Pumzika BINGU wa MUTHARIKA!
Dadavua zaidi paja hili kwa kubofya ,...
...HUKU
Kujua baadhi ya huyu rijali yalioegemea eneo fulani tomasa au donoa ,...
...HUKU
UPDATES:
Habari hii sasa inamadoa kwa kuwa kuna wadaio daktari hajatamka bado kuwa hawezi kuamshwa... ...ndio hata HUKU inabakia ni uvumi
PS:
DUH!
Kama hujafa Mkuu -nia ilikuwa sio KUKUCHULIA!:-(
Kama UMEKUFA tutakutana baadaye umetangulia tu!
UPDATE
:
Yeah- MTUNDU kaanza kikweli kwa Sir GOD!
1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Muda si mrefu nimesikiliza BBC ni kweli Raisi huyu kaiga dunia. Pumzika kwa amani Bwana alitoa bwana amechukua. Amekufa siku moja na Yesu kristo
Post a Comment