Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

UMAARUFU wa DINI ni bonge la kisimi cha BIASHARA tokea ENZI ZA MABABU!

>> Sunday, April 08, 2012

NA labda OGOPA hasa watu walio  nyuma  ya UMAARUFU wa  MTU MAARUFU,...
....ambaye umaarufu wake KIUBAVU wa UNYEGELESHO  unakufanya unahisi DINI yake inafanana na yako kisa jina au tu UOGOPAVYO kiimani aina za UYOGA,...
.. na katika hilo la  WOGA ukichanganya na UNGULI WAKE ambao  unaweza kukusaidia kunyonywa uchi KWA RIDHAA YAKO bila kufikiria KWANINI hilo  la ``WEWE KUTOKUWA NA UHAKIKA ´´ linachako cha  kikupewa faraja za UTAMU,...
....unakusaidia kuuchekelea  UMAARUFU bila kukumbuka kuwa,...
.... walio NYUMA ya UMAARUFU wa UMSHABIKIAYE wanaweza kuwa ni kinyume hasaaa cha hata uaminivyo MUNGU!:-(

Swali:
  • Si labda nasema ukweli ingawa unaweza kubisha KISA sentensi zangu hazikidhi ustaarabu wako wa nini na nani wa KUMSIKILIZA hasa kwakuwa sifanani na uliozoea KUWASIKILIZA?
  • Kabla huja sahau kichwa cha habari-UNAKUMBUKA tokea zamani na sio siku hizi tu DINI ni bonge la BIASHARA ukijulia kusikilizia kula sadaka za HASA  masikini ?

Ndio,...
...yasemekana labda MAARUFU hata kama ni RAIS KIKWETE  na HUYO sio wa KUOGOPA,...
.... ogopa walio nyuma yake HASA yale YAO  ambayo yanawafanya wahakikishe hata  RAIS OBAMA ni RAISI ambayo siye vimbulukutu hatujui!:-(

Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!

Hebu ALI KIBA alainishe kwa - DUSHELELE

 HABIDA ajaribu kulainisha kwa- GET DOWN TONIGHT
Halafu NATALIE COLE aachishe utani na kudinya-This Will Be

1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 2:20 pm  

Hakika Mtakatifu nakuamini kwa kuandika kile ukiwazacho sio wengi wafanyao hivi. Pasaka njema mtu wangu. Upendo Daima.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

There was an error in this gadget

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP