Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kwani kuna awaye nguli wa kuendesha BAISKELI kwa kusomea KUENDESHA baiskeli kwenye VITABU?

>> Tuesday, April 03, 2012

Ndio,...
..... kuna mengi tu kama tu jinsi ya KUENDESHA baiskeli,...
.... kihitajikacho ni VITENDO kwa kuwa hata ukariri kurasa za vitabu vipi,...
.... MIMBA haiingii bila VITENDO!:-(


Swali:
  • AU?

Ni WAZO tu hili MHESHIMIWA!
Nakutakia siku KIBONGE!


Hebu turudi GHANA ili  Koo Nimo  arudie-Yaa Amposah


Au tu Koo Nimo na Palmwine Quartet waongezee shughuli...

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 4:30 pm  

Kila siku nikipita hapa najifunza kitu ...huwezi kupata mimba bila vitendo ...Je Bikira Maria? Maana yasemekana alipata mimba kwa uwezo wa Roho mtakatifu..mmmmhhh

Simon Kitururu 4:56 am  

Mie siamini kuwa Bikira Maria hakufanya matusi@Yasinta

Yasinta Ngonyani 10:24 am  

Mmmmmhhh! matusi?

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP