Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kuna ya MUHIMU na tuyapayo UMUHIMU , ambayo LABDA ni vitu viwili tofauti!

>> Saturday, April 07, 2012

Ila yasiyo MUHIMU,....
.... labda ni tafsiri tu za MTU,....
..... kwa kuwa UMUHIMU wa kitu CHAKO,...
......yawezekana hutegemea sana WEWE mwenyewe binafsi WAHITAJI nini.


Swali:

  • Au?
  • Unafikiri cha MUHIMU kwako huhitaji MAJADILIANO kuwa hicho MUHIMU?

Na chaMUHIMU,...
..... labda wala sio MUHIMU,...
.... kama tu Coca Cola au PEPSI kwa mwenye JUISI asilia,.....
..... ingawa kwa kuwa kuna tuvipavyo UMUHIMU,...
.... mtu huweza kujikuta kwenye SHEREHE anatoa UMUHIMU kwa COCA COLA kuliko JUISI ya EMBE kutokana na kusahau kuwa labda kiumuhimu JUISI inatosha.

Swali:
  • AU?

Na labda DALILI kuwa unakipa UMUHIMU kitu kisicho MUHIMU,...
.... ni pale ujikutapo unajisikia KUKITETEA KITU kuwa ni MUHIMU,...
... hata bila kujua faida zake!:-(

Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!


Hebu Gibson Brothers waingizie - Cuba


 


Joe Cocker ajaribu kulainisha kwa-You are so beautiful

 

Au tu BUJU BANTON aingilie na kuharibu kwa-Stamina Daddy


Halafu azime kwa-Make My Day


0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

There was an error in this gadget

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP