Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Labda CHIZI anahitaji CHIZI TOFAUTI katika PENZI ili MAPENZI yasizidishe UCHIZI!!

>> Sunday, April 01, 2012

Na labda,...
.....katika UCHIZI uitwao MAPENZI,....
.....kwa  akiriye KAPENDA kwa DHATI,...
......hawezi kukiri kihivyo bila kuingia kaaina ya UCHIZI!

Swali:
  • SI ukipenda KISAWASAWA hata ndugu na jamaa walalamike kuwa unachemsha kwako weye  kila kitu ni SAWA?
  • Na kama umependa KISAWASAWA na bado hufanyi uchizi- HATA KAMA hufanyi ambayo hufanya kuna walambao mpaka vitobo vya nyuma vya wawapendao WAPENZI  kama vile ulimi ni TISHU -bado kwa kupenda sana hustukii kaUCHIZI?

Ndio,...
.... labda usishangae kwa kuwa ,....
.... labda ni WEYE watu wa kUSHANGAAAYE,...
.... kisa UMEPENDA na ufanyalo kwa MPENZI wasio wapenzi wako ,...
.... ufanyalo LABDA ni UCHIZI.

Ni wazo tu hili MHESHIMIWA !
Jumapili Njema!

Hebu turudi CONGO ili Lopango ya Banka wapenyeze- Kongo Bololo


 LOPANGO ya BANKA waongezee-Bifuku Mitano


Lopango Ya Banka waongezee - Ndule Ya Bakin


 Halafu hawahawa LOPANGO YA BANKA wazime kwa-wazime kwa -MPO NA KONGO


3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 12:07 pm  

Duh! Simon ama kweli kipenda roho hula nyama mbichi na mapenzi yana nguvu kuliko mauti...jumapili njema nawe pia..

EDNA 4:33 pm  

Jumapili njema mtu wangu.

Simon Kitururu 9:15 am  

@Edna na Yasinta: Asanteni watu wangu!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP