Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kuhusu ya waheshimiwa hadharani kuhisisha WATU kuwa WATU hawana hamu ya KUNYA kama hakuna CHOO hata karibu na HADHARANI!

>> Sunday, April 08, 2012

Ndio,...
.... ukifikiria unaweza kustukia kuna wenye hamu ya kutafuta CHOO,...
... kabla ya kuwa na haja ya KUNYA!:-(


Swali:
  • Si kuna wajitafutiao kusikilizia ya ``UCHI ni  mtamu vipi´´ bila hata ya kuwa na hamu kikweli ya UCHI?

Ndio,...
...hili ni wazo tu MHESHIMIWA!:-(Hebu turudi 27.05.1972 ili CHUCK Berry arudie-Johnny B. GoodeAu tu Lou Reed ajaribu kuhamisha kwa - Walk On The Wild Side


 

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

There was an error in this gadget

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP