Umoja wa Afrika nishai!- Asema Gaddafi !
>> Thursday, June 28, 2007
Gaddafi kasema juzi kuwa jawabu ni kuwa na serikali moja ya Afrika.
Asema mtengano huu wa nchi za Afrika hausaidi hata nchi moja ya kiafrika.
Asema OAU na AU kwa miaka yote hii hajafanya kitu ambacho serikali moja ya Afrika inaweza kufanya.
Lakini.....
Hata hapo Afrika Mashariki, kuunganisha Tanganyika na Zanzibar kasheshe.Je, Kuunganisha Kenya na Tanzania .......halafu.....
DUH!
Katika mambo fulani ambayo Gaddafi anazumgumzia ambayo nayaunga mkono , pamoja na kuonekana kuwa yeye ni muovu kwa wengi, ni hili swala la muungano wa Afrika.
Lakini ....
- Nakumbuka jinsi Kwame Nkurumah alivyo tumia pesa ya Ghana kujaribu huu mradi wa United States of Africa.
- Nakumbuka jinsi Nyerere alivyo kuwa anaboresha Afrika kwa ujumla kwa kutumia mali ya Tanzania bila ku...Duh!Unakumbuka eti kavita ka kagera kanatukosti mpaka leo
- Halafu nakumbuka jinsi Lumumba hapo Kongo alipokuwa anamfuata Nkurumah na.....
- Ukitaka kushinda, kuwa na mpango ,lakini unayetaka kumshinda usimjulishe unatakakumshinda.Atajiandaa.
KWA Hivyo ...
Tuendelee na Kutengeneza Umoja wetu wa Afrika.
Swali:
Lakini ubangaivyavyo ni lazima wengine wajue?
DUH!
Labda...!
Lakini ngojea nikuondoe katika siasa zilizo kichwani nikuache na picha za chobisi za siku nilizo kutenga kidogo.
Napia ....
Umemsikia huyu mdau wa Moshi/Arusha akiwa na bendiyake 1/2 Caste.
Duh!Kiswahili si ni Chotara eeh?
Lakini kuna Mdau Mwingine huyu wa Arusha/Moshi ambaye Bongo hawamjui lakini katika Maiki Duh!Nikimdaka vizuri sehemu utamsikia..

Yasin .Huyu we ngoja utamsikia halafu utaniambia

Akiwa nami

Abdulkarim!

Abdulkarim eeh?

Duh!

Mtimkubwa . Samahani nilibakia!
Ushawahi Kumuona Aliko bila kofia?

Aliko !

Aliko eeh?

Duh!
Lakini nakutakia kila la heri kati maonyesho yako Urusi!
Ze mambo mengine...

Ze mimi


Sio hoteli yangu lakini:-)
Samahani tena msikilize Majuto
Lakini mambo mengine zaidi....

Sasa...

Saaasaaaaa eeh!

Duh!


Duh!
Ngojea nimuachie Snoop Dogg aelezee....

Vyombo vya Rumi viko tayari.
Samahani kama hujui hili jambo.....!
Tulipitia hapa kumcheki mbongo aitwaye Rummy akiwa na bendi yake Mighty 44
Msikilize kidogo basi....
Sasa Rummy aka Rumpunch aka Mr B alipokuwa kazini....

Mpiga gitaa

Mfuta jasho nyuma ya maspika

Rummy kazini


Ushangilizi

Aliko, nilikudaka ulipogeuka katika ushangilizi:-)

Rummy na Aliko baada ya kazi

Abdulkarim, Rummy , Mtimkubwa na mimi baada ya onyesho.
Sasaaaa.....
Turudi kwa Gaddafi! basi.....
Huyu jamaa wengi wanamuita Muarabu kwasabau ni Muarabu. Lakini Huyu jamaa anajaribu sana kuwahakikishia watu kuwa ni Muafrika.
Duh!
Swali:
Hivi Libya si iko barani Afrika?
Hivi Dewji pale bongo ni Mhindi eeh?
Sasa wale Waafrika ya kusini, akina Dr Leakey na wale pale kilosa na chobisi nyingine ambao ni weupe , sio Waafrika eeh?
Najiuliza tu usitishike!
Niko Mawazoni!
AU?
Halafu usimaindi sana Snoop Dogg pale juu.
Endelea na Onyeka Onwenu na King Sunny Ade hapa
Alhamisi njema!
Lakini kuna wadau wamenitumia e-mail kusema kuwa wanapata taabu kufuatilia nasema nini na namaanisha nini!
Duh!
Mzee Manento eeh!
Nimeingia mjini jana usiku !
Nikipata nafasi usishangae kile kitu.
Read more...