Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Hivi Histori inatufundisha kitu?

>> Tuesday, October 10, 2006


Ukicheki haya ya Afrika Kusini utapata moyo.
Alaah!Sasa mbona Askofu Desmond Tutu mwezi uliopita tu amekiri kuwa Waafrika kusini wamepoteza dira?

Je kweli sisi watu weusi tutaamka na kung'ara kama asemavyo Bunny Wailer hapa chini?

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

luihamu 12:55 pm  

Mzee Simon naomba unielekeze jinsi ya kutumia YOUTUBE.

Simon Kitururu 3:26 pm  

Ukiwa unaangalia video clip katika youtube pembeni yake utaona URL na Embed. Ukitaka ku-link video hiyo lakini isicheze kwenye web page yako link kwa kutumia URL. Lakini ukitaka icheze kwenye page yako unaweza kukopi Embed na kui-paste kwenye page unayo andika. Ni rahisi tu jaribu utaona.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP