Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kuhusu kwanini Simon hatuoni Blogu nyingine zikikuunganisha

>> Thursday, November 02, 2006



Mimi sina jibu hilo. Waulizeni ambao unahisi wangeniunganisha katika blogu zao. Lakini hata katika blogu yangu sijamuunga kila mtu.Lakini si umenipata?Kumbuka hapa ni katika treni ya mawazo. Maana yake hakuna majibu sana.Kama maswali tu!Utayapata.

1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Anonymous 2:43 pm  

Simon,
Mimi nami ni kati ya watu hao. Inabidi tukubali kosa. Kweli kuna blogu nyingi mpya (yako, akina Metty, Luihamu, Mpoki, Mjengwa, na wengine) nimezihifadhi nasema kesho nitaziweka, kesho nitaziweka, basi siku zinapita. Sasa watu wameuliza basi itabidi tufanye kama ilivyo ustaarabu huu uliozoeleka kwenye blogu wa kuunganisha. Viungo ndio kati ya msingi wa muundo wa teknokojia hii.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP