Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Oliver Mtukudzi na Manu Dibango mawazoni!

>> Friday, November 10, 2006

Wakati najiandaa kwenda kumuona Oliver Mtukudzi leo hii, nimejikuta napitia miziki ya kiafrika kibao ambayo imenisaidia kupitisha siku za shida na raha. Bado napooza kichwa katika behewa hili la mawazo kwa kuwasikiliza zaidi Oliver na pia Manu Dibango. Hivi, unakumbuka ile Soul Makossa?Mimi nilikuwa naiimba kiswahili yote.



Oliver Mtukudzi akikupa Ndakuvara




Manu Dibango akikupa Soul Makossa

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Jeff Msangi 12:27 am  

Duh!Umenikumbusha mbali.
Nilimuona Oliver Mutukudzi mwaka jana hapa Toronto kwenye AfroFest.Huwezi kuamini kwamba jamaa umri umekwenda kwa jinsi ambavyo analimiki jukwaa.Usisahau kutuambia utakachokiona huko.

chemshabongo 4:55 pm  

kazi zako nzuri kaka, nilikuwa sijawahi kutembelea mitaa hii, blog yako ipo so interested. big up man!

Simon Kitururu 6:22 pm  

Siutani Jeff, Oliver alifanya mambo yake baabu kubwa!Yeye na gitaa lake lakini hakosei kucheza au kuharibu Koreografi.
Kasimpaya asante kwa kunitembelea

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP