Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Napenda WANAWAKE!Samahani kwa udhaifu!:

>> Sunday, May 11, 2008

HAPI MAZAsDEI!
Ingekuwa ni chaguo langu, kila siku ingekuwa ni siku ya KUMSHUKURU MAMA!


Pamoja na matatizo ya mama wa kambo na mama aliyemtupa mtoto jalalani,au kumuacha tu pale hospitali au sehemu sehemu,NAWEzakukiri kuwa asiyekiri kuwa mama KIBOKO, kwangu yeye SI KIBOKO.
MIMI MDHAIFU!

Kwangu MAMA KIBOKO!

Lakini.....
Nashangaa kuwa kwa watu fulani hasa waitwao wanaume, waweza kumuelewa binadamu aliyezaliwa kutoka kwa mwanamke , kumdharau mwanamke,hata kama wameshuhudia au wameliangalia dume zima likililia mwanamke.

Mwanamke , dada, msichana au tu wewe MWANAMKE mwenye mtoto;HESHIMA YAKO!

HERI ya SIKU ya MAMA!

Pata wimbo maalumu KWA MAMA...


NI vigumu kuutoka mkao wa kumshukuru MAMA.

Lakini pata baadhi ya picha zangu kadhaa na wadau bila kusahau ISRAEL VIBRATION walionisaidia kuipitisha wiki ile ilioisha ijumaa hii.



Photobucket
Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket

Photobucket




Au wasikilize tu ISRAEL VIBRATION kiduchu...

4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Anonymous 6:22 pm  

mzee simon,duh, natamani ingekuwa na mimi nimekutana nao yani ningewaoma miguu yao kwa kutumia machozi yangu.Hoa ni manabii wa kweli.

ROOTS.

rASTA HAPA.

Anonymous 6:22 pm  

mzee simon,duh, natamani ingekuwa na mimi nimekutana nao yani ningewaoma miguu yao kwa kutumia machozi yangu.Hoa ni manabii wa kweli.

ROOTS.

rASTA HAPA.

Said Michael 6:31 pm  

Hii mada imenibamba kinoma kamanda. Endeleza spidi

Simon Kitururu 5:15 pm  

@Rasta:Cha muhimu ni kwamba wanaleta maana fulani kwenye maisha yako.
@SAID:
Asante Mkuu kwa tafu hapa kijiweni!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP