PENZI kitovu cha UZEMBE!
>> Saturday, July 24, 2010
Penzi laweza kuwa KITOVU cha UZEMBE,...
.... ikiwa kipimo cha JUHUDI  sio kuendekeza PENZI.:-(
Kwa atafsiriye JUHUDI kwa jinsi WATU wanavyo chuma MAEMBE,...
.... JUHUDI zako HATA  za kuchekelea wajanja kwa KUWAKENULIA MENO KATIKA KUJIPENDEKEZA kwa kuwa wao kwako ni WAJANJA zinaweza kutostukiwa tu juhudi za aendaye haja kubwa vizuri kimaridadi zisivyostukiwa  na BINADAMU washabiki tokea ENZI.:-(
Swali:
- AU?
 
Juhudi ZA MWENYE JUHUDI zaaliyependa ZAWEZA KUKOSEA kwa kulenga PENZI,....
.... na alengaye  PENZI  wakati wengine walengacho kuangalia sio PENZI  ,....
....kwa wengine PAMOJA na KUWA MSIBANI KWA KULA ANAJUHUDI , anaweza tu KUONEKANA mzembe.:-(
NI WAZO TU HILI MKUU!:-(
Hebu tuendelee na Gregory Isaacs katika- Confirm Reservation
Au tu Gregory Isaacs alete pia na- Cool Down the Pace
Naacha baadhi ya Picha za Morogoro
































 



2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Karibu tena katika ulimwengu huu wa kublog. Umikuwa umepotea na sasa naamini umerudi na upo nasi tumekumiss. Na asante kwa taswira hizo kutoka huko mji usio maji.:-)
picha bomba kweli ila hiyo 'unayopooza koo' ni kali zaidi.
Post a Comment