Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

AFANDE BIKIRA!

>> Friday, April 13, 2007

Bikira mtoto mzuri
Mwanasesere bei ghali
Bikira kijana shwari
Kijiweni ye dalali
Ua hariri
Msibani ye wali
Ishara isiyo hatari
Mtoni atuna ka-jabali
Japo hazina kwa kukariri
Jihadhari kwenda Mbali
Bado ni kaukweli.....
Hajui kuendesha gari

Na:Simon Kitururu

Nakuacha na Miriam Makeba akikupa kibao Kilimanjaro.

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Anonymous 3:20 pm  

Nimerudia na kurudia shairi. Bado sijalielewa. Labda ni kwakuwa ni asubuhi na mapema. Asante kwa kutuwekea Gil Scot.

Simon Kitururu 2:54 am  

@Ndesanjo:Nilikuwa najaribu kuchezea lugha katika kuongelea mtu ategemewaye kuongoza mapambano(afande) lakini asiye na uzoefu.Watu kadhaa wameniuliza na maanisha nini hasa hapa.Huwa napenda kila mtu awe na tafsiri yake lakini nahisi hapa nimezidisha mpaka sieleweki.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP