Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Nyolinyoli

>> Monday, April 30, 2007


Ushawahi kumnyolisha mtu?
Halafu ushastukia nyolinyoli nyingi watu wanyolishazo ni zawadi walizopewa na wala hawakununua wenyewe.
Si unakumbuka ile pipi ulionyolisha watu?
Duh !Muda unanipiga chenga kuendeleza Nyolinyoli talk..


Lakini tuendelee na Steel Pulse!

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Chemi Che-Mponda 12:16 am  

Kaka Simon, jibu ni ndiyo! Mwaka jana ofisini nilipata zawadi ya Chia pet. Najua aliyenipa alipata kama zawadi miaka ya nyuma kwani kwenye bozi imeandikwa 2002. Anyway nangojea Christmas hii inayokuja. Nitaitoa kama zawadi kwa mtu tunaita 'recycling'.

Christian Bwaya 11:56 am  

Vipi Kitururu? Nimepita hapa kukusalimu. Ujue nimepotea muda mrefu, ila sasa nahisi nirejea jumla.

Wasalaam

Simon Kitururu 8:29 pm  

@DADA CHEMI:Recycling ,DUh!:-)
@Bwaya:Karibu tena Mzee!Afadhali umerudi jumla jumla!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP