Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Ushawahi kuiba Peremende?

>> Sunday, April 22, 2007

Peremende tamu
Ukiilamba lazima upate utamu
Inakudaka hata ukijua hakuna yake umuhimu


Duh!
Unajua nilikuwa najaribu kuandika shairi!
Lakini labda nikuache na wadau ambao hawakunitenga wikimwisho hiii.....
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Mzee wa Nairobi

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Mzee wa Kameruni

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Heidi , asante kwa kuwakilisha Darfu!Alafu saamahani kwa kutofikiria unaongea Kiswahili


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Tommy


Lakini ... ngojea Jamiroquai aseme....


Sasa aaaaaaaaaa..........
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Mzee Aliko. Lakini Mzee hujui tu jinsi gani wewe muhimu kwangu!
Lakini tuache hilo.....
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Mkuu wa Kikao na Al Tunes


Lakiniiiiiiiiii........!

Tukiendelea....
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Marina
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Vera
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Sophie.Kwa wasiomjua, anaimba kama malaika..............
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Dj Amara na mimi....
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Aiyekoto na....
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
New York, Dar-es- Salaam na Morogoro
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Lakini unajua huyu mwanamke alishaniibia mpaka simu jana!
Ila timu yangu ilikuwa kubwa tu ndio maana nikatoka mzima.
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Ni huyu tena.
Unajua si kila mtu aonekanaye freshi maanayake hana issues. Basi ndio huyu aliye nipa aidia ya kutunga shairi- Usha wahi iba Peremende.Ingawa nimeshindwa kulimalizia:-)
Lakini tuache hilo!
Nakuacha na Sanchez...

Jumapili njema!Lakini ukinipitia hapa niachie ile meseji.AU?

13 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Anonymous 11:31 am  

Mzee nimekubali ;-)

Simon Kitururu 11:39 am  

Mzee Kweba eeh!Hapo udachini wanasemaje?Sasa usinitenge:-)

Egidio Ndabagoye 2:25 pm  

Kama hujui utamu wake huwezi kuiba,lakini ukionjeshwa siku moja ipo siku wa kukuonjesha hatakuwepo ndio utakapokata shauri la kuiba. Na ukiiba siku moja huwezi acha mpaka ukamatwe!

Aliko 2:38 pm  

atu husema wazungu sio wezi sasa mzee ulikua na kazi kuprove otherwise j pili njema

Anonymous 5:23 pm  

Mzee Simon,,mi nimepita mkuu,,lakini unanitenga mkuu,,,Lakini sawa mzee,,tutafanyaje sasa....
TI

MTANZANIA. 6:31 pm  

Simon,
Duh!! Mi nakuonea gere.

Lakini mara nyingi wizi wa peremende huwa unafanyika kwa siri kubwa. Ila panakuwa hapatoshi pale unapokamatwa.

Otherwise, nakutakia wikiendi njema.

Anonymous 11:25 pm  

tunaomba mchango wako hapa,asante https://www2.blogger.com/comment.g?blogID=17229004&postID=2228567355941212162

Anonymous 11:34 pm  

Ee bwana ndio,huko yaelekea si mchezo.

luihamu 7:11 pm  

Mzee Simon,hongera,kumbuka pia kuna mamilioni ya watoto wa kiafrika nao wanahaki ya kupata tabasamu kama lakwako,wanahaki ya kupigwa picha na chapu za juice,wanahaki ya kuwekwa kwenye mikanda ya video na kutoa maoni yao,wanahaki ya kusema SAY YES TO RASTA.

WHO KNOWS IT FEELS IT WHO JAH BLESS NO MAN CURSE,ONE,ONE LOVE.

Simon Kitururu 7:48 pm  

@Egidio: Kweli kabisa hili jambo lakuonjeshwa linamambo yake. Unajua hata chai inanyweka vizuri bila sukari. Lakini ukiizoa na sukari , isiyo na sukari huipendi
@Aliko: ilikuwa ngumu kweli kupruvu kuwa kaiba mpaka aliposachiwa na bounsa nikiwa na watukadhaa kama mashaidi
@Jeff: Huku hakuna cha zaidi.Washikaji zangu wote waliofika mtaani kwako hapo Toronto wananiambia hapo zaidi
@Mtanzania:Nafikiri watu huiba peremende kwa siri kwa sababu ndio hunoga zaidi kihivyo.
@Rasta Luihamu: Usemalo ni kweli tupu. Watoto waafrika wanatakiwa kufurahi na furaha na neema katika maisha yao.Lakini lisikustue sana tabasamu langu , kilio na majonzi yapo , inategemea siku.

Simon Kitururu 9:01 pm  

@Mzee T.I:Sikutngi Mzee!Auniapie!:-)

Anonymous 5:52 pm  

Msalimie Marina:)

Simon Kitururu 9:42 am  

@ndesanjo: salamu zimefika:-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP