Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Jamani kaka mimi sitaki!Ntakusemelea kwa mama weee!

>> Friday, April 06, 2007

Kuna mambo ambayo tamaduni nyingi zimekataa. Mojawapo ni hii ya ndugu kuingiliana kimwili au ku.........

Duh! Bado sielewi ni kitu gani kinafanya baadhi ya watu kumtamani dada au kaka yake kimapenzi. Lakini hiki kitu kipo.Wengine wanadai katika familia zinazolindwa sana. Nikimaanisha wazazi wakali, basi kuna baadhi inabidi wafanye kale kamchezo mumo kwa mumo.

Cha ajabu nasikia haka kamchezo ka kupata nyama ya hamu mumo kwa mumo si kuvunja sheria katika nchi nyingi. Halafu unajua tena enzi hizi za demokrasia wadau wa Ujerumani wanapigania haki ya kula mapochopocho ndani kwa ndani.
Wasikilize basi dada na kaka hawa wakipigania haki yao ya mapenzi ya mumo kwa mumo...

Duh!Jamani haka kakitu mapenzi ni kagumu , lakini kweli ni kagumu mpaka hakapatikani nyumba ya jirani?
Tupendane lakini.........!

7 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Simon Kitururu 12:28 am  

washikaji nitonyeni. Kwa huko chobisi mnapata blogu hii clearly

Egidio Ndabagoye 9:14 am  

Mitaa ya hapa inaonekana poa sana kwa sasa.Naona tatizo lilikutokea kama mimi,sijui ni kwanini inakuwa hivyo.

Simon Kitururu 12:00 pm  

@Egdio:Sijui ni nini. Halafu unajua tena mambo ya computer nayajua juujuu tu basi kasheshe.

MTANZANIA. 3:02 am  

Kitururu!
Hongera kwa mapinduzi ktk blog yako.

Hii issue ya mapenzi "mumo kwa mumo" ni complicated. Lakini ukiachilia mbali sababu ulizotoa,
Kuna sababu nyingine ya imani za kishirikina(kishetwani). Inasemekana hii haichagua kaka,dada,mama,baba, mtoto, shangazi n.k. Itategemea sangoma kakuelekeza vp. Inabidi jamii iamke ktk kupiga vita haya mambo.

Otherwise nakutakia mapumziko mema.

Simon Kitururu 4:15 am  

@Mtanzania:Hiyo uliyosema kweli tupu. Haya ya ushirikina nasikia bado yabasababisha watu waue ndugu zao, kuwafanya vichaa nk. Hivyo nafikiri mtu awezaye kuua , kale kamchezo kwa nduguye hata hatfikiria sana.

Anonymous 12:12 pm  

humans are compilicated beings this same example happens in animal kingdom daily but we were meant to be intellegent above simbas and nyoka so this kinda behaviour is uncalled for

Simon Kitururu 7:15 am  

@Anony:Thats so true

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP