Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Mwanadada akikuuliza kama kavaa ulimbwende!

>> Thursday, April 12, 2007

Mwanadada:Eti nimependeza?
Mzee Mzima:Ndio umependeza!
Mwanadada:Mbona umejibu hata bila kuniangalia?
Mzee Mzima: Wewe hupendeza kila siku, unajua wewe mzuri sana.
Mwanadada:........=pointi tupu
Mzee Mzima:........=kubunia na kujing'ata

Ushastukia unaweza ukawa umedanganya mara kadhaa ukipigwa maswali ya namna hii?
Halafu usisahau zile tarehe maalumu za kusherehekea nanihiii.

Duh!
Akinadada kwanini mwatuweka konani namna hii?
Mpaka kesho haka kamchezo kamahusiano kananizingua kweli.
Lakini asanteni akinadada kwa yote!
Nawaacha na kibao hiki The Secret Garden ikipigwa na Quincy Jones, Al b sure, Barry white, na Debarge kinikumbushacho .......

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Unknown 11:29 pm  

Simon style yako ya kublog babu kubwa,usiiache hii!huwa nacheka sana nikipita hapa kila siku hata kama huwa siachi comment.hii ya akina dada ni kali sana kwa sababu jibu wanalotaka huwa ni moja tu,ukiwapa jibu tofauti na hilo utakiona cha moto!!!!

Simon Kitururu 3:01 am  

@Zemarcopolo:Asante kwa kunipitia hapa kijiweni mara kwa mara. Kuhusu akinadada mimi sisemi:-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP