Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Je , Unaridhika na Ulivyozaliwa?

>> Wednesday, May 23, 2007


Je, unanungunika na kujisikia vibaya kwasababu

  • Matiti madogo?
  • Mweusi sana?
  • Mweupe sana?
  • Unamatege?
  • Unavigimbi?
  • Una.................
Lakini..........

Mbilikimo(primordial dwarfs)

Mapacha walounganika(Siamese twins)

Mapacha Walounganika(Siamese twins)


Usifikiri nakukataza kutoridhika!
  • Najua kama unanywele fupi , unataka ndefu.
  • Najua kwa sababu mweusi unajichubua ili uwe mweupe
  • Najua kuwa kwa sababu mfupi unaombea ungekuwa mrefu
  • Kwasababu una kifua kidogo unapiga chuma ili kiwe kikubwa
  • Najua kuwa.........................ili ................... iwe......................
  • Na kadhalika kadhaa....
  • Najua video nilizotundika hapo juu ,zinaweza kutoongea na wewe.
Lakini......................!
Nawaza tu hapa mawazoni !

Lakini isije kuwa mara nyingi kuwa tunanungunika na haturidhiki bila kuwa na sababu za muhimu. Nakutania, kwa sababbu najua maranyingi tunalalamika na kunung'unika bila kuwa na sababu za muhimu.

Usitishike!

Lakini.....................!


Siku njema!
Ngoja ASWAD (Nyeusi)walainishe siku kidogo....

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Christian Bwaya 5:40 pm  

Du! Umenigusa kunako. Ninakubaliana na wewe hatimaye kwamba kuna haja ya watu kujikubali tulivyo.

Anonymous 7:22 am  

Simon: wanaokuelewa na wakuelewe. Wasiokuelewa, shauri yao. Unasema mambo fulani mazito sana kwa namna fulani ya "Ki-Simon."
Unajua ule wimbo unaosema binadamu hata umpe nini haridhiki. Ikinyesha analalamika, likiwaka analalamika, baridi analalamika, joto atalalamika. Weusi wanajichubua, weupe wanakaa juani wawe weusi.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP