Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Ile Kura ya Ukatibu wa Jumuiya!Na hii Wiki mwisho!

>> Friday, May 18, 2007

Leo mimi mvivu kuandika.Lakini kumbuka mwaka jana kama leo niliandika...... ngojea niseme..............

Sasaaaa........!Nikumbuke hukuuu.Halafu gombea na weweee!Si Unajua hii jumuiya lazima iende mbeleeeeee!

Najua washikaji kibao niwajuao , wiki mwisho hii wanajaribu kupata nafasi ya kufikiria mambo wanayoamini kuwa ni muhimu.Halafu ukweli ni kwamba ni mambo muhimu.Lakini ,kumbuka ni wiki mwishooooo!Tuangaike tu, lakini tukumbuke yote ni muhimu.

AU!

Ngoja Marvin Gaye aseme....


Lakini.......!

Ngoja nimuache Mzee Martin , akiwa katika kushangilia timu yake ya Bacelona kwa ......













Eee Bwana eeh!Si utani!Hii kali!
AU?

Sasaaaaaaaaa........!



Katika hii wiki mwisho kumbukeni kuwa ingawa tunaendeleza kazi, tukopamoja ingawa najua hatutaonana .

Ngojea nimuachie mkuu wa kikao na wanzabanga hiki kitu cha R Kelly



Duh!

Nimestukia hicho kitu!Unajua kuwa .......
Sisemiiiii !Lakini tukopamoja
Basi ngojea Samba Mapangala asemeeeee.....



Lakini.....

Ijumaa njema!
Tutaongea baadaye ,
AU?

4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Anonymous 6:03 am  

Simon,
Yote tisa,kumi ni huo muziki wa Marvin Gaye uliotubandikia.Hivi wakati ukiwa mdogo uliwahi kuusikia ule uzushi wa kijiweni kwamba Marvin alikuwa msenge na kwa sababu baba yake alikuwa mchungaji kwa hasira akamtwanga risasi ambayo ilipelekea mauti yake?Hivi nani alianzishaga uzushi ule?

Christian Bwaya 4:01 pm  

Kitururu,

Vipi umeshatengeneza mtandao wako tunapoelekea kwenye uchaguzi wa Jumuiya?

Simon Kitururu 1:19 pm  

@Jeff: Nilisikia hicho kitu.
@Bwaya:Bado Mzee!Lakini kura yako nitapata?:-)

Christian Bwaya 5:38 pm  

Usijali.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP