Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Tangazo la Msiba!

>> Tuesday, May 22, 2007


Kwa niaba ya Ndugu Magonela Malima, tunasikitika kutangaza kifo cha baba yake Mzazi Mzee Malima kilichotokea ghafla huko Musoma Tanzanina hii leo.Kikao cha rambirambi na kutoa pole kitafanyika hapo kesho tarehe 23/05 ukumbi wa Chelsea,Helsinki, Finland saa moja usiku.Mfiwa anatarajia kwenda kuwahi mazishi hivi karibuni.Kwa wasioweza kufika wanaweza kuwasiliana na Magonela au Fidelis(Mtimkubwa) kwa taarifa zaidi.
Photo Sharing and Video Hosting at PhotobucketKwa wasiomjua.
Huyu pichani, ndio rafiki na ndugu yetu aliyefiwa Magonela.



Kwa wasio na namba au email yake na ya Fidelis unaweza kutuma ujumbe kwenye e-mail yangu:skitururu@gmail.com , na nitazi forward kwa wahusika.

Mungu Amlaze mahali pema peponi Mzee Malima!

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Aliko 4:43 pm  

pole sana mkubwa ...r.i.p mzee wetu Malima.

Anonymous 2:25 pm  

mago tuko pamoja Juma majeans,Man punky,Simon Ndaki na machizi wote kisutu including Jah Noni,Nasi Esokoba(Nasibu)na foleni nyingine nzima kama ujuavyo wanakupa pole dogo bila kumsahau Zablon na machizi Doks ya A.City.
Dogo kumbuka watu wako like Lau,Pitta na wazee wote wa mambo ya masimu somberero.

Anonymous 7:23 am  

Pole ndugu yetu Malima.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP