Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Milima Haikutani , lakini binadamu.........

>> Sunday, May 20, 2007

Kuna kastarehe kakukutana na rafiki yako baada ya muda mrefu.Kuna kastarehe pia kakukutana sehemu ambayo kwa kawaida mtu usingewaza kuwa utakutana na mshikaji pale.
Duh! Haka kawimbo kako kichwani!Unakumbuka Archie Bells and the Drells?

Lakini kabla sijaendelea.....
Ngojea niwakumbushe baadhi ya washikaji wanaokumbuka zile safari za hizi sehemu.
Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Ukitembelea hapa ujue pochi yako ishapungua kiasi...

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Kuna mtu anapakumbuka hapa?

Lakini kabla.....
Ngoja Erukah Badu aseme.....

Haya tuendelee......

Basi nimepata bahati yakukutana na rafiki yangu JHIKOMAN . Baada ya miaka mingi kidogo ilikuwa ni furaha kukutana naye.Kwa wasiomjua, huyu ni mwanamuziki wa Reggae Tanzania ambaye usisite kusikiliza kazi zake.Hababaishi.
Ngoja ni weke baadhi ya picha ......

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Jhikoman

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Marti na Jhikoman

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Vilpu na Jhikoman

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Jhikoman

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Jhikoman na mimi

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket
Jhikoman na mimi

Sasaaa !Ngojea nianze! Jumapili njema !
Nakuacha na Big Youth

1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Mija Shija Sayi 11:04 pm  

Ukionana naye tena msalimie.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania

Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP