Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kumeza Kohozi na kutema mate!

>> Saturday, May 05, 2007


Samahani !

Najua tendo la siri hili!
Au unabisha?

Siunakumbuka unavyompiga kibaka aliyeiba kitumbua mara moja?
Na kumuacha bosi aibaye keki kila siku atanue!
AU?
Unakumbuka nikiongelea sehemu za siri unavyojisikia vibaya?
Duh! Umekumbuka nahisi!

Nakubaliana na wewe!
Kwa sababu kohozi ni siri halitakiwi kuongelewa?Ingawa linamezwa kisiri.
AU?
UMESTUKIA EEEH!
Nakuacha na BAABA MAAL


3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Anonymous 4:42 pm  

Tamu kweli...yele maana yake wajua...au siri?

Simon Kitururu 10:56 am  

@Serina:Sijui Yele maana yake nini.Ngojea nimuulize rafiki wa Kisenego halafu nitakustua maana yake nini.

luihamu 4:01 pm  

Mzee wa AU,inabidi nikupe hili jina sasa na ninadhani wengi watakubalina na mimi.Ni hivi

SIMON KITURURU a.k.a AU
Unakubaliana na mimi?AU

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP