Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Mheshimiwa!

>> Monday, May 21, 2007


Twakuita Mzee Mheshimiwa
Kwa sababu ya heshima na staha
Kama msalani
Twakutunzia heshima na staha
Ndo sababu ya Samahani....
Ingawa karne haina hekima wala mastaa
Kama maslahani...
Cha moto twa kiona katika kukutunzia heshima na staha
Mzee Mheshimiwa!
Shikamoo!

Duh!
Unajua kuna mtu atataka kujua namaanisha nini hapa!

Mpate tu Erykah Badu,Cee lo na Big Rube

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP