Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Twende tena MISRI kudeku TV zao!

>> Tuesday, July 31, 2012

Read more...

Sikiliza kwa makini Mahojiano na Mhe. Dr Faustine Ndugulile

>> Monday, July 30, 2012


Dr Faustine akiteta na Nguli Mubelwa BANDIO





Sehemu ya kwanza kati ya mbili za mahojiano na Mbunge wa Kigamboni (CCM) Dr Faustine Ndugulile ambaye ameeleza mengi kuhusu kongamano kuu la UKIMWI alilohudhuria hapa Washington DC, hali ya mapambano ya UKIMWI nchini Tanzania na pia harakati zake BUNGENI. Kagusia mgogoro wa MJI MPYA wa KIGAMBONI na mengineyo. 

Karibuni


 













Sikiliza kwa makini Mahojiano na Dr Faustine Ndugulile Part 2

Hii ni sehemu ya pili na ya mwisho ya mahojiano na Mbunge wa Jimbo la Kigamboni (CCM) Dr. Faustine Ndugulile. Katika sehemu hii, amezungumzia suala la mgomo wa madaktari na athari zake kwa nchi. Je! Yeye (ambaye pia ni Daktari) anaamini kuwafutia leseni ni uamuzi sahihi?. Tumesherehekea SIKU YA MASHUJAA NCHINI. Ni kweli kuwa Tanzania TUNA MASHUJAA? TUNAWAENZI VEMA MASHUJAA (kama wapo) na NI VIPI TUNATENGENEZA MASHUJAA WAJAO? Anazungumzia vipi vipaumbele vya matumizi ya serikali kulingana na mahitaji ya mwananchi? Ni vipi/ ama kwa kiasi gani kuna ushirikiano wa wabunge (hasa vijana) toka vyama mbalimbali ili kuipeleka Tanzania mbele Imeelezwa kuwa serikali inachangia 3% ya gharama za mapambano dhidi ya UKIMWI licha ya kuutangaza kama JANGA LA TAIFA. Ni kweli tuna dhamira ya kupambana na ugonjwa huu? Na upi mwito wake kwa wa Tanzania wote?

 KARIBU


   





 Nimetumiwa na JUMA ISSA mahojiano yaliyofanywa na Nguli MUBELWA BANDIO wa CHANGAMOTO YETU aka "The Way You See The Problem Is The Problem" 

Read more...

RIP Geoffrey Hughes (2 February 1944 - 27 July 2012)

>> Sunday, July 29, 2012

Life Lessons from Onslow

Read more...

Nafikiria vazi la TAIFA la TANZANIA ....

>> Saturday, July 28, 2012

.....wakati nadeku....


Read more...

Tanzania OYEE!





Picha zote kutoka:

Read more...

Ikibidi uamke kwa kuwa ni ASUBUHI kijambo!

Amka tu yani!

Swali:

  • Si unajua kuamka kwingine kuko jioni?

Ndio,...
... ikibidi amka tu KISIASA, kiwewe,...
... au hata kikudinda sehemu za siri  za KIIMANI ki-KIBINADAMU ,...
...kama wakati huo ndio ZIHITAJIKAZO!:-(


Ni hilo tu NGULI!
Na ni wazo tu hili MHESHIMIWA!


Hebu Bella MONDO warudishe -Ansam Ansam

 

Ghafla Gemini All Stars de Ti Manno warudie - Ansam Ansam

   

 Au tu Queen Latifah aulizwe maswali kumi...

 

Read more...

YA DUNIA: Masaji KIDUCHU ya NYOKA!

>> Friday, July 27, 2012

Haya tena....


 

Read more...

Swala la MHESHIMIWA msagaji KUWA liko MAHAKAMANI kwahiyo TANZANIA tusiliongeleee!

>> Thursday, July 26, 2012

Na kirahisi unaweza kukatwa kauli kisa  uko TANZANIA,...
... na ujanja siku hizi ni kudai tu SWALA liko MAHAKAMANI kwa hiyo LISIJADILIWE!



Swali:

  • AU?
  • Si umestukia siku hizi TANZANIA kisingizio ni kuwa swala liko MAHAKAMANI na kulijadili ni KUINGILIA mahakama?




 Na swala hata la KITUMBUA kama  liko MAHAKAMANI aisee,...
 ...  hatutakiwi KULIJADILI hata kama ni la kuhusu MHESHIMIWA KITUMBUA mswahilina wa KILOKOLE ambaye ni MALAYA na kijadiliwacho ni kipengele cha umalaya wake tu ambacho kina hasiri mahitaji yako ya KITUMBUA,...
... labda SHAURI ZAKO aisee kama uko BONGO kibusara na heshima za KIBONGO!:-( 


Swali:


  • Si unakumbuka LABDA  umejitakia mwenyewe kunisoma na UHESHIMIWA wako hata haya ambayo yako MAHAKAMANI za WAHESHIMIWA NYOKO ambayo labda sio yakujadili?:-(



 Ndio,... 
...TANZANIA bomba siku hizi kikujulia kukataza kistaili MAJADILIANO,...
..... na sio kama tu ENZI za NYERERE ambazo kikufungwa mdomo ulikuwa unafungwa kikweli MDOMO usijadili kisa unapinga UJAMAA !:-( 

Ni hilo tu NGULI!
Na ni wazo tu hili AISEE!:-(




Hebu ghafla Loketo warudishe -Extra Ball

 

 Dany Engobo et les Coeurs Brisés warudishe-Feeling

 


Halafu  Ghafla Alpha Blondy ndiye  azime kwa - Sweet Fanta Diallo

 


  Ndio,...
 ...nilikuwepo walipokuwa  EXTRA BONGO....





































Read more...

Halafu nikanyimwa KIDUDE kwa KUONGEA UKWELI hapa DUNIANI!:-(

>> Tuesday, July 24, 2012

Taka usitake,... 
... saa nyingine ni WADANGANYAO,... 
... INASEMEKANA ndio wadakao TAMUTAMU kiulaini za HATA ya KIDUNIA! 



Swali: 

  • Unauhakika utaenda MBINGUNI? 



Ni hilo tu KAMANDA!



 Hebu SHABBA RANKS arudie-Love Punany Bad


Shabba Ranks aongezee -Bedroom Bully








SHABBA aongezee zaidi kiduchu kwa-Wicked in a bed







GHAFLA Isley Brothers waingilie tena ....

   

 Halafu PRINCE azime....
 

Read more...

Staili ya KUKU ni tofauti na ya BATA aisee!

Na bila STAILI hata za POPOBAWA,....
 ... labda KUKU na BATA ni ndugu AISEE sio KINDEGE,...
 ... hata kama ni HATA ni kwa KINDEGE tu aiseee!:-( 


Swali:

  •  AU? 
  • Si BINADAMU WOTE ni NDUGU hata kama tofauti zao sio KUBWA kama KUKU na BATA?



 Ndio,...
 ... na KISTAILI nyingine,... 
.... MDUNDIKO unaweza kudhaniwa ni SINDIMBA aisee!:-( 

Ni wazo tu hili aisee MHESHIMIWA!


 Hebu Lynden David Hall arudie ya kimwana - Sleeping With Victor

 


Lynden David Hall adinye- Lets do it again

 

Au tu Lynden DAVID Hall arudie kuulizahalafu azime kwa -Are WE still COOL?

 

Read more...

Wakati tunachungulia JUMAPILI huku tumefunga na TULICHOFUNGA ni mfungo RAMADHANI!

>> Sunday, July 22, 2012

Ukichungulia kwa macho,...
.....KUMBUKA kuchungulia KIIMANI pia,....
....NA KIHIVYO usisahau kuwa mambo mengi mengine ya KIIIMANI ni ya ROHO!


Swali:
  • Kwani una uhakika KIROHO wewe sio BASHA kiimani na sio   MSENGE wakati UBASHA labda ni DHAMBI kisenge?


Ndio,...
... kiiimani labda kuna wasifiao MCHICHA,...
...iiila walacho au hata watakacho kula ni BONGE la nyama na KIKUMA   sio NYAMA  kiMKUNDU!

NI wazo tu hili MHESHIMIWA!
JUMAPILI NJEMA kibonge wa KUHESHIMIWA aisee!!


Hebu tutoneshwe na ....
.....Junior Kelly katika - Love so nice


 


Halafu Pepe Kalle azime kwa -MOYIBI





Na,...
...... nipoAISEE!!


























Read more...

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP