Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

CAROLINA eeeh!

>> Wednesday, July 11, 2012

Basi BWANA hebu tu AWILO LONGOMBA ndiye atekenye kidude...:-(
Au aongezee pini-COUPE BIBAMBA


Yes I am still OLD school....
 I still  spin LPs.. ... and YES,....
 those are in my SITTING room
.... YEAH!

6 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 5:49 pm  

Haki ya nani leo ni mara yangu ya kwanza kukuona Kadoda bila suti..:-)

Simon Kitururu 5:59 pm  

Si unakumbuka hata chini ya GWAGURO, suti au tu chupi... ni kweli watu wako UCHI?@Kadala

Yasinta Ngonyani 6:04 pm  

Inawezekana...na hapa nimerudi tena kwa vile nilikuwa na haraka na hilo shati.halafu nilisahau kusema lina rangi nzuri. Na ndio nikasahau kusema au kusikiliza mziki. Nimetimka hapa mpaka sasa nipo hoi hasa huo wa Carolina..huu wa pili nimeogopa huyo nyoka..LOL

Yasinta Ngonyani 6:07 pm  

Duh! kweli haraka haraka haina baraka na nimeona hiyo LPs ni bonge la kumbukumbu naipenda ...

emuthree 9:35 am  

Mkuu, Ambiere, hapo chini bwana umekee kiutu uzima, naona hekima zimejaa tele hapo,..huku home tunaandaa kikao , usije ukatuleta mdhungu huko, tunakutafuta `mbora wa kunu kaa, utize?'

Simon Kitururu 5:03 pm  

:-)@Kikore M3

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP