Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Hivi WATANZANIA bara wangapi wanajua ZANZIBAR hata kama hatuongelei swala la ZANZIBAR iko wapi?

>> Friday, July 06, 2012

Kiasilimia,..
.... labda WAZANZIBAR wengi ndio wajuao TANZANIA BARA lakini,....
.... hata kama kijulikanacho ,...
....WABARA hawanauhakikanacho kuwa KIMEJULIKANA kisahihii au LAH!

Swali:
  • Kwani hujastukia ni vigumu sana KUULINDA Muungano wakati kuna MAUSIRI lukuki na wala SHIBE yako huioanishi na ZANZIBAR weye MBARA? Lione vile!


NAWAZA tu kwa SAUTI
..... ingawa mlengwa ni MBARA!:-(
Hebu tubadili kwa kusikiliza ya enzi zile -Marashi ya Pemba

 

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP