Swala la MHESHIMIWA msagaji KUWA liko MAHAKAMANI kwahiyo TANZANIA tusiliongeleee!
>> Thursday, July 26, 2012
Na kirahisi unaweza kukatwa kauli kisa uko TANZANIA,...
... na ujanja siku hizi ni kudai tu SWALA liko MAHAKAMANI kwa hiyo LISIJADILIWE!
Swali:
- AU?
- Si umestukia siku hizi TANZANIA kisingizio ni kuwa swala liko MAHAKAMANI na kulijadili ni KUINGILIA mahakama?
Na swala hata la KITUMBUA kama liko MAHAKAMANI aisee,...
... hatutakiwi KULIJADILI hata kama ni la kuhusu MHESHIMIWA KITUMBUA mswahilina wa KILOKOLE ambaye ni MALAYA na kijadiliwacho ni kipengele cha umalaya wake tu ambacho kina hasiri mahitaji yako ya KITUMBUA,...
... labda SHAURI ZAKO aisee kama uko BONGO kibusara na heshima za KIBONGO!:-(
Swali:
- Si unakumbuka LABDA umejitakia mwenyewe kunisoma na UHESHIMIWA wako hata haya ambayo yako MAHAKAMANI za WAHESHIMIWA NYOKO ambayo labda sio yakujadili?:-(
Ndio,...
...TANZANIA bomba siku hizi kikujulia kukataza kistaili MAJADILIANO,...
..... na sio kama tu ENZI za NYERERE ambazo kikufungwa mdomo ulikuwa unafungwa kikweli MDOMO usijadili kisa unapinga UJAMAA !:-(
Ni hilo tu NGULI!
Na ni wazo tu hili AISEE!:-(
Hebu ghafla Loketo warudishe -Extra Ball
Dany Engobo et les Coeurs Brisés warudishe-Feeling
Halafu Ghafla Alpha Blondy ndiye azime kwa - Sweet Fanta Diallo
Ndio,...
Dany Engobo et les Coeurs Brisés warudishe-Feeling
Halafu Ghafla Alpha Blondy ndiye azime kwa - Sweet Fanta Diallo
Ndio,...
...nilikuwepo walipokuwa EXTRA BONGO....
1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
nimeipenda T-shirt yako !!!
Post a Comment