Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Yahusuyo UTAMU wa kusubiria MPENZI wahalali UMPENDAYE kwa mara ya kwanza hata kama sio kule GESTI BUBU!!

>> Friday, July 06, 2012

Tofauti ya wakati unamsubiria MCHUMBA mpya   kwa mara ya kwanza na WAKATI unangojea LIMCHUMBA ulilolichoka liondoke,...


... LABDA kumbuka,...
... ujuzi wa kuwa LIMCHUMBA la zamani umelichoka,...
.. inategemea sana kumbukumbu za tamutamu za ulivyosubiria MCHUMBA mpya MARA ya KWANZA !


Swali:

  • SI unakumbuka MARA YA KWANZA labda huchulia yote yafuatayo hata kama yatakuwa yanafanyika kwa mara ya SITINI ELFU?
  • Kwa hiyo si unakumbuka KUTAKA mtu na KUCHOKA mtu ni vitu vinavyotegemeana katika kuhakikisha UNAJUA unachofanya?


Ndio,...
... kama ni mara ya kwanza UNATAKA mtu,...
... kuna uwezekano bado hujui kwa uhakika UTAMU wa kutaka MTU,...
... kisa bado hujabalansi IKWESHENI kwa kutaka kuacha LIMTU!:-(

Niwazo tu hili MHESHIMIWA!
Ijumaa na WIKIENDI njema Mkuu!

Hebu Isaac Hayes arudie-Chocolate Salty BallsHalafu azime kwa-SHAFT


0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP