Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Labda ni kweli HAIHITAJI pesa kusafisha UCHI wa BINADAMU na BINADAMU kwa KIBINADAMU!

>> Sunday, July 01, 2012

Ndio,..
... kabla ya PESA ,....
...YASEMEKANA  mambo yalikuwa tu DUKINAA kihivyohivyo,...
... ingawa nasikia ni walio na MISULI ndio walikuwa wanaopoa NGOMA mwanana KIJIJINI!

Swali:
  • Si nafikiri unafikiri unahitaji PESA?
  • Na si uchi wa lolote ili ufanyiwe usafi labda ni MFUMO tu huu uliopo DUNIANI sasa hivi ambao unasababisha hilo wakati BINADAMu waliishi miaka lukuki hapa duniani wakiwa na uchi hata WA TABIA tu za kati ya BINADAMU na BINADAMU msafi tu?
  • Na si mpka sasa walio na misuli ya UBONGO wanamchezo wa KUJULIA kuliko walio na MISULI tu kisa wameenda GYM?


Ndio,...
... yasemekana lakini kuwa PESA ni sabuni ya ROHO hasa ,...
.... za wasio na ROHO njema !:-(

Ni wazo tu hili MHESHIMIWA,...
... na endelea tu kusukuma GURUDUMU la MAISHA,...
... na kama kimaisha yako unahitaji pesa,....
 ..NAKUOMBEA na iwe HIVYO.........!

Ndio nipo ,...
.... kamanilivyokuwa 2007

Hebu PINK Floyd ,...
...wanisaidie kukumbushia ya -MONEY
Halafu hebu Tina Turner ahamishe na kuzima ,....
...kwa -Better be good to me

1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 8:53 pm  

Kadoda zilipendwa nzuri kumbe ulikuwa bonge la kijana tangia mwanzo:-)

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP