Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Wenye baadhi ya SIFA zisifikazo huwa na mchezo wakuzidishiwa mpaka SIFA wasizostahili!

>> Wednesday, July 18, 2012

Ndio,...
.... wenye SIFA ,...
......labda huzidishiwa hata SIFA wasizonazo!

Swali:
  • Kwani hujastukia?
  • Kwanni hujawahi kuona MTOTO MZURI muuza SURA au tu hata MCHEZA mpira akisifiwa kwa TABIA ambazo hakuna ajuaye ni zake kisa MSIFIAJI ni shabiki hata kama ni wa tako tu la AMSIFIAYE?

Ndio ,...
... na kuna WAZURI ambao wanasamehewa UJINGA pia,...
....katika kusifiwa MABAYA!

Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!
Na nakutakia JUMATANO NJEMA aisee!
Hebu Eric Clapton arudishe ya LAYLA

Yes.... it is -Wonderful Tonight


 

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

emu-three 10:12 am  

Sifa zinaua...na ukipenda kusifiwa ujue kuna kuchukiwa.

Yasinta Ngonyani 8:05 pm  

emu3! hakika umenena...sifa si nzuri..

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP