Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Kama unaelewa ya KIKUBWA...

>> Wednesday, July 11, 2012

... labda UMEKUA weye!:-(

Swali:
  • AU?

Ndio,...
... na UKUBWA sio UMRI wala UMBO tu  lakini KIJEBA !

Swali:
  • AU?

...ni wazo tu hili MHESHIMIWA!

Hebu KROSFYAH waingilie kwa kukuza mtu kwa-WET ME.. kiduchu-SAC PASSE

KROSFYAH waongezee...-Pump Me Up With The Music
Halafu tu shughuli iishe tu kwa Faluma DING DING DING

5 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 8:10 am  

mmhhh!! ngoja kwanza wengine waseme....

Simon Kitururu 8:13 am  

Waseme nini tena?@Nguli Yasinta Ngonyani

Yasinta Ngonyani 8:22 am  

Waseme waliyonayo kichwani nami nitasema...

Simon Kitururu 8:26 am  

Mmmh!Huwa nafikiri wewe ni Msiri.. na ya kichwani na yamoyoni MWAKO huwa wayabakiza hukohuko... na uyasemayo ... huwa ni yale uliyoyakagua na kuhitimisha ni yasikikayo vizuri masikioni mwa wengine kimtazamo wa BUSARA zako MWANANA .AU?@Yasinta Ngonyani!

Yasinta Ngonyani 8:33 am  

Mmmmhhh!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP