Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Halafu KATIKA YOTE ....kunatubanwao na UCHI aiseee!!

>> Monday, July 16, 2012

Na uchi wa KIMAISHA,...
.... unaweza kuwa ni TUMBO aisee!

Swali :
  • SI mdomo na kinyeo KIMAISHA ...labda mambo mengineyo ...KIMAISHA ...kuna vipengele visakiziwavyo tuuu huko nanihii?

Ndio,....
...kuna wabanwao hata na KAZI pia,..
... wakati kujipendekeza kwao kwenye mikazi yenyewe labda ni MSHAHARA tu,...
... ingawa MSHAHARA wenyewe wala sio UCHI kivile kwa mpenda UCHI ,...
... hata wakati kimaisha wako UCHI aisee!:-(


Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!
JUMATATU njema NGULI aisee!
Ndio ,...
....I can feel it coming IN THE AIR TONIGHT


Phil Collins adai zaidi nigewe- One More Night
  GREGORY ISAACS asaidie,...
....nilalamikiye ya kuhusu weye kuwa-SAD TO KNOW

 

Halafu STEEL PULSE warudishe ghafla udini,....
..... kwa ku-rudia -Chant A Psalm
Halafu,...
...NIPO aisee!


1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 5:33 pm  

mmmhhh! bonge la tabasamu:-) jumatatu njema kwako pia kadoda

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP