Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Hivi MAPINDUZI yanakuja lini TANZANIA?

>> Monday, July 02, 2012

Na,...
... ni hilo TU!:-(

Swali:
  • Hivi WANANCHI hawajachoka TU Tanzania/ Tanganyika....?
  • SI angalau WAZANZIBARI wanatuonyesha wamechoka na vindumbwendumbwe?
NA ukisikiliza ya TANZANIA,....
.... waweza kujiuliza kuwa nguvu za  wanyonge wenye nguvu ZIKO WAPI,...
.... au ndio kuridhika TU WAKATI TUNATEKETEA,...
....na tuimbiwavyo AMANI wakati wenye amani  Tanzania NI WATAWALA  TU  na siye wengine hata POLISI  wao wasemekanao ndio walinda amani ,..
.....kama weye ni MNYONGE ukiwaona tu  ,...
....hata kama huna kosa unajiandaa kuwakimbia.:-(

Ni wazo tu hili tu MHESHIMIWA kimyakimya !:-(
Ndio mie na mpaka WALIOKUWA  marafiki ZANGU...
.... ila WAKIINGIA TU UNJAGU huwa nawakimbia kisa ni  MAPOLISI!:-(



Hebu Gil Scott-Heron abadilishe  ...
...na alaishe KABISAA kwa-Revolution Will Not Be Televised


 

Au Gil Scott-Heron  huyuhuyu alainishe ZAIDI na kuzima kwa - Work For Peace

 


Au tu SHABBA RANKS aingilie na kuzima kimwelumwelu kwa-WILL POWER



Ndio,...
...nipo bado kivilevile aisee...:-(












4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 2:24 pm  

hivi huyo mbwa ni wako au? halafu umependeza kadodo:-)

sam mbogo 12:59 pm  

Sijuwi nianzie wapi.ila umenena,mapinduzi Tanzania yatakuja,ila si kwa fikra na mitazamo tuliyonaya kwa sasa. Tanzania ya leo ni ya kujifaragua,na kujifanya kuwa tunauchungu na nchi yetu wakati uzaleondo haupo hasilani miongoni mwetu. sasa hivi kila mtu anaganga njaa hakuna mpiganaji kweli wliowengo ni "FEKI".maendeleo si lelemama hayaji kishikaji ni mikikimikiki, sasa ukiwaangalia wale wote wanao sema wanaipigania nchi Tanzania si wakweli,lawama/kulaumiana bila kusoma nyakati au wakati tuliopo nakujuwa wapi tumetoka nawapi twendako.mfano,leo hii mtuanaye kuwa nauwezo wa kupika ubwabwa/wali nyumbani kwake huyo ni tajiri!? wakati wali au mpunga unalimwa kwa wingi tu nchini ,sasa wewe angalia huku ulaya wali nikitu cha kawaida tu,kuku ndo usiseme,sasa hu ni mfano mdogo wakuwa fikra na mitazamo katika maisha yetu bado,ina bidi tubadilike kimtazamo,na hapo tuuone wali kama nichakula tu cha kuliwa na mtu yeyote na wala si ishara ya kuwa unazo.mfano mwigine ,kuanzishwa kwa TV na radio bila kusahau magazeti binafsi kumechangia mvulugano wa mawazo nafikra katika jamii yetu ya Tanzania.sasa hivi nimengi tunaiga kwa kuyaona na kuyasikia,na yanatupa vichocheo vyakutokuwa na mwelekeo sahihi kama taifa.kasi iliyopo haiendani na mfuma wa kitawala tulionao japokuwa kwa kiasifulani njia tunaiona lakini hakuna kiongozi wa kutuongoza nakusema hindoyo njia tunayo takiwa kufuata kutokana na mazingira yanayo tuzunguka,na kwa ujasiri kabisa kutamka adharani kuwa sisi nitaifa huru lenye kuweza kujiamulia mambo yake ,lenyewe kwa maslahi ya watanzania.kaka s.

Simon Kitururu 6:02 pm  

Wangu@Kadala
@Kaka S. yani sina cha kuongezea mnyambulisho wako

Yasinta Ngonyani 8:27 pm  

mmmhh..sijui nisema una bahati au bahati mbaya? Mbwa ananidhuru:-(

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP