Halafu nikaonyeshwa CHUPI kidooooogo!
>> Sunday, July 15, 2012
Kwa kuwa KIMAISHA kitakwacho zaidi labda sio chupi kama chupi haina kilichovalishwa CHUPI,....
... kuonyeshwa CHUPI ya KIMAISHA HATA KWA SANA yaweza kuwa ni kutiana tu MAJARIBUNI kimaisha,...
.. kitu kiwezacho kugeuza MTU akawa MWIZI au tu JAMBAZI wa yaliyofichwa na CHUPI za KIMAISHA,...
.....hata kama inaweza kuwa ni kitu CHANYA kikuleta matumaini UKIONA CHUPI,...
... kwa kuwa inarahisisha kikuhakikishiwa angalau uendako ndiko kuliko na MANING'INING'I yaliyofichwa na CHUPI!:-(Swali:
- Si inasemekana ukitaka kupandisha JAZBA yayahamu si lazima uonyeshwe KIDUDE chenyewe KIKIPENGELE chenyewe cha KIMAISHA?
Ndio,...
.... labda ni muhimu hata kuonyeshwa tu mahali UFALME ulipo halafu utafute mwenyewe KIBIBLIA, KORANI, kimatunguli, kikujipendekeza ,kikulazimisha ....
..... au hata KIKAMASUTRA kikikulainisha ,....
.. jinsi ya kuufikia ufalme wa miungu ya KIUTAMU,...
... hata kama sio tu NI ule UFALME wa MBINGUNI za kwenye CHUPI kiutamu .:-(
Swali:
- Au?
Halafu akanionyesha CHUPI kidoooogo,...
...na kwa kuwa CHUPI yenyewe ilikuwa CHAFU kimaisha,...
...nikajua chakufanya kikukimbilia upande MWINGINE usio na CHUPI!:-(
Ni wazo tu KIMAHUBIRI jumapili HII!
Jumapili NJEMA Nguli!
Hebu tubakie BAGAMOYO na JHIKOMAN ,...
....katika kidude-Moyo UNADUNDA
JHIKOMAN aongezee dozi kwa - AFRO Reggae
Ila Urge Overkill wazime kwa-Girl You'll Be a Woman Soon
Ndio,....
.... NIPO!
8 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Nimeyapenda mahubiri ya jumapili hii..na pia naona unafurahia likizo kikwelikweli:-) nimependa na nimetamani
Picha ya tano kutoka juu umefanana na Mrisho Mpoto kama nini yaani..
Pamoja sana mtoto mzuri Kadala!@Yasinta Sijawahi kumuona Mrisho kashika bia lakini!:-( @Mwanamke wa shoka MIJA
Halafu naona ume/ulijiandaa kwelikweli katika kwenda na hilo boti..halafumchomo huo mmmhhh..je ulikuwa huogopi huko maparini?...
KONDOMU muhimu kikujiandaa... na ukijiandaa ... Pori lolote lina kipenyo aisee... kitu kifanyacho MDUNDIKO wowote hata usio ule wenye wimbo`` HAVINITISHITISHI, havinibabaishi... ´´---kawaida aisee kikutotisha!!@Kadala aka Yasinta Ngonyani
Haya bwana..kumbe ni jasiri..Kadoda:-)
Kadoda hizo nyama sio za huyo bata kwenye picha?..LOL
Nimependa ujumbe wa leo, pia matukio ya picha yako bomba sanaaaa
Post a Comment