Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

MHESHIMIWA umheshimuye ALIYEVAA CHUPI asiyejua NJIA, naye ni HATARI kisa hawezi KUKUONYESHA njia ISIYOPOTOFU!:-(

>> Saturday, July 21, 2012

Uwaheshimuo,...
... ndio NGUli kikupoteza NJIA!


Swali:
  • AU?

Na kuna WAHESHIMIWA waliobobea katika KUTUONYESHA NJIA hata kwa kutunyoshea vidole kuwa TUMEPOTEA,...
....wakati nao kiwapacho NGUVU kuwa hawajapotea ni jinsi TUAMINIVYO wanapatia na HAWAJAPOTEA kwa kuwa wanatunyoshea vidole ,...
... ila ukweli TU ni kwamba  hawajui kuwa HAWAJUI kuwa nao WAMEPOTEA hasa kwa kuwa,...
... siye HATUJAPOTEA aisee.

Swali:
  • AU?
  • Na si LABDA wengine TUSIOHESHIMIKA kama Simon Kitururu TUNAPATIA NJIA  kuliko WAHESHIMIWA waaminikao WANAJUA njia hata za KWENDA MBINGUNI ambazo wanabunia kitu kifanyacho hawastukii hata KIIMANI wamepotea?

Ndio,...
..UWAHESHIMUO,...
.... labda kumbuka si kila kitu chao kinastahili HESHIMA za kuwa WANAKIJUA!:-(

Ni wazo tu hili NGULI!

Hebu MIGHTY SHADOW abenjue tena-TENSION

 


Lord Kitchener aingilie kati kwa -KAKA ROACH


Halafu tena azime kwa-SUGAR BUM BUM

2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 1:08 pm  

Hapa leo naona ni bonge la wazo juu ya mawazo. Ngoja niwazze kwanza nitarudi...

Yusuph Mcharia 12:38 am  

Umusa.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP