Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Anonymous Nr.1

>> Monday, September 18, 2006

Leo nilijikuta namsikiliza yule anonymous anifurahishaye. Si mwingine basi ni yule mpiga miziki wa Nigeria ambaye hapendi kuonekana sura, Lagbaja. Ananizingua sana katika upangaji wake wa muziki na pia jinsi atumiavyo sauti yake ambayo haifichi hata kiduchu Uafrika. Pata vibao vyake viwili hivi



Hapa anakupa Skentele Skontolo






Hapa anakuambia Never Far Away

0 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP