Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Diplomasia hata kwa Papa......

>> Thursday, September 28, 2006

Sayansi ya diplomasia ni ngumu. Ni rahisi kunyoshea mtu vidole, lakini katika maswala ya diplomasia na siasa lazima kuna mtu huwa anashinda. Hivi karibuni hakuna hata lakusita, Papa jasho limemtoka kujitetea kuhusu Uislamu.Mcheki hapa anavyoomba msamaha. Lakini nahisi kumfukuza Askofu Milingo kutoka Ukatoliki kutokana na msimamo wake wa kuoa haikumtoka jasho hata kidogo. Kwa hisia zangu ni mchezo wa diplomasia tu na kwamba Waislamu wamegundua ka kitu. Zamani ilikuwa inachukua zaidi ya miaka mamia kabla kanisa halijaomba msamaa.Zamani liliua watu kwa wao kusimamia ukweli lakini likuwa mwiko kukiri.Check Galileo controversy na nyinginezo. Je ni hii janja ya Alqaida ya kufa kufa ambao inafanya viongozi wa dini nyingine wasikilize? .Ofukozi ndiooo ukweli wenyewe.







Papa akiwa katika gia ya upole















Askofu milingo akiwa na mwanamke wake ampozaye roho.













Papa akijaribu kujieleza kidiplomasia kwa mmoja wa viongozi wa wajanja waliogundua.

1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Egidio Ndabagoye 8:42 pm  

Hiyo ya Askofu Milingo iuko kazi.Bora yeye amekuwa muwazi

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP