Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

BWANA ASIFIWE!

>> Tuesday, September 05, 2006

Bwana Asifiwe!Bwana Asifiwe! Amina!

Najiuliza tu hivi ni kweli Bwana anapenda asifiwe au kuna upungufu katika lugha?

1 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Christian Bwaya 4:01 pm  

Kitururu,
Ujue nimecheka sana kwa dakika kadhaa nikifikiri namna ulivyo bingwa wa tafakuri! Sikuwahi kufikiri jambo hili awali. Nimeondoka na swali. Kaza buti baba, halafu tutembeleane bwana!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP