Anonymous!
>> Tuesday, September 05, 2006

Lagbaja Akiwa ndani ya mask kama kawaida yake.
Kama kawaida katika mablog nayopitia  huwa nakuta Ma anonymous kibao. Wengi wao wanaongea  mambo mengi ya busara, lakini wako wachache ambao huusudu sana  kutukana. Inanikumbusha kuwa Tanzania zamani tulikuwa tunaogopa mashushushu.Hivyo labda bado watu huogopa kujulikana.
Lakini kuna wale ambao hawapendi tu kujulikana sura kama huyu mwanamziki wa Kinaijeria aitwaye Lagbaja .Yeye hapendi tu kujulikana sura. Lakini yeye sababu yake kubwa kujificha sura ni kwamba anaamini kuwa yeye kama vile pia jamii ya Kiafrika haina sura wala sauti. Huyu ni miongoni mwa wale wanamuziki wa Kinaijeria nao wapenda ambao wameathiriwa na akina Fela Kuti   ,Sunny Ade nk.Unaweza kumsikiliza katika DUDU REDIO . www.duduradio.com . Kuna baazi ya nyimbo zake pale.
Lagbaja is a Yoruba word that means somebody, nobody, anybody or everybody. It perfectly depicts the anonymity of the so called “common man”. The mask and the name symbolize the faceless, the voiceless in the society, particularly in Africa.
 
  
 Posts
Posts
 
 




2 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Tazama tovuti hii ya Fela:
www.felaproject.net
Asante Ndesanjo!Sikuwahi kuistukia hii site.
Post a Comment