Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Bado NIPO/niko BAFUNI......

>> Saturday, May 12, 2012

.... na kabla sijarudi hapa KIJIWENI rasmi!:-(


YEAH!
NIPO aisee!
Baada ya kujiswafi ,...
....natarajia KURUDI hapa kijiweni RASMI  kihivi KESHO
.... au ki- KESHOKUTWA!
NI HILO TU !


Hebu N.W.A. waanzishe tena kwa - Express Yourself 

 


AY na Maurice Kirya wajaribu kulainisha kwa ndude -BINADAMU
Au tu Maurice KIRYA abakie tu peke yake hapa UGANDA halafu azime tena kwa -If I EVER 


 

17 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Mija Shija Sayi 1:51 am  

Haaaaaaaahh!! Yaani "kikopo" hadi bafuni..!!!

Haya twakusubiri utoke bafuni.

Baraka sana.

Simon Kitururu 1:56 am  

Ndio Hapoooo!@Dada MIJA!:-(

nyahbingi worrior. 11:42 am  

Hapa RASTA HANA CHA KUSEMA KWANI NILISHASEMA.


AMANI.

Yasinta Ngonyani 1:08 pm  

Hata Kadala hana la kusema amebaki mdomo wazi....

Simon Kitururu 1:13 pm  

@Rasta Luiham na Dada Yasinta: Sasa niniii?

Yasinta Ngonyani 1:37 pm  

Kadoda ni kwamba nilitaka kusema duh! leo kweli ni leo na mmhhh naacha!!

Simon Kitururu 1:39 pm  

@Yasinta: Mmmmmh!

Yasinta Ngonyani 1:45 pm  

Nahisi huyo aliyepiga picha alikupatia kweli yaani sijui nisemeje?

Simon Kitururu 1:50 pm  

Hakupatia Kadala! Angepatia si ungeniona utupu? AU?@Kadala Yasinta

Yasinta Ngonyani 2:02 pm  

Mmmmhh! labda lakini hata hivyo umepatia kivyake...Raha jipe mwenyewe eti eeh kadoda:-)

Simon Kitururu 2:06 pm  

Ndio hapooo!@Kadala!

Yasinta Ngonyani 2:19 pm  

Haya twasubiri utopao huko bafuni na mawazo yaliyomo kichwani mwako..nakutakia siku njena na naku....

Rachel siwa Isaac 2:49 pm  

Karibu tena kaka wa mimi!!

emu-three 4:26 pm  

Mkuu, mbona naona dable,ulikuwa unananihono .....mmh,lakini nani alikupiga chabo...ambu vetio, wekiruka kujeghu uaghane na fae...

Anonymous 1:40 pm  

bado uko bafuni tu jamani?
Ester Ulaya

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! 5:06 pm  

Duh!

Yasinta Ngonyani 10:52 am  

Hata mie najiuliza huko bafuni bado tu au ndo mpaka tukufupe?

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

There was an error in this gadget

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP