Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Leo katika UCHOKOZI: Gen. Colin Powell na WAPENZI wa JINSIA MOJA wakitaka KUOANA!

>> Tuesday, May 29, 2012

3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Yasinta Ngonyani 11:11 am  

wao pia ni binadamu na ni Mungu kawaumba hivyo ..binafsi sioni shida...Kwa vile imetokea hivyo.

Ester Ulaya 11:39 am  

mimi hapa sina la kusema kwakweli, napita kuwasalimia

emu-three 12:18 pm  

Hapana , hiyo ni kupinga maandiko ya mungu,....rejeeni kizazi cha Sodoma na Gomora, mimi nafikiri ingekuwa jama wataalamu wakaangali jinsi ya kurutubisha hizo hisa zao, ambazo zimefifia,....

Jamani tunakwenda wapi! Upande mmoja tunakubali upande mwingine tunakataa. Yaani ni maandiko hayo hayo ya Mungu!

Jaribu kufikiria wewe kama mzazi mtoto wako anakuwa sio `riziki' utajisikiaje...
Ni hayo tu mkuu

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

There was an error in this gadget

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP