Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

R.I.P Robin HUGH GIBB!

>> Monday, May 21, 2012


Robin Hugh Gibb,(22 December 1949 – 20 May 2012)

R.I.P Robin!


Na miziki yako hasa ya enzi za The BEE GEES ,...
.... bado naisikiliza na yanikuna aisee!

Hebu nikusikilize tena ukiwa na KAKA zako tena katika-

STAYING alive


3 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Ester Ulaya 9:11 am  

Jamani amefariki, nimekuwa nikifuatilia kweli habari zake,nimeumia RIP Robin

Simon Kitururu 12:19 pm  

Amependwa zaidi na Mwenyezi Dada yangu!@Dada Ester

Yasinta Ngonyani 12:32 pm  

PUMZIKA KWA AMANI TULIKUPENDA ILA MUNGU KAKAPENDA ZAIDI.

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

There was an error in this gadget

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP