Mtakatifu SIMON KITURURU - MAWAZONI

FALSAFA na WAZO ndani ya neno - DUH!

Nipo bado na naahidi ntarudi na nguvu MPYA kikipengele GHAFLA!

>> Tuesday, May 01, 2012

Samahani wadau ambao niliwazoesha UJINGAbusara  marakedekede KILA MARA hapa KIJIWENI !
Nipo na NTARUDI na NGUVU  zaidi ki KUBWA KULIKO!


PAMOJA SANA MDAU!Hebu tena TRACY CHAPMAN ajaribu kurekebisha kwa-Baby can I hold U?

Au tu Gregory Isaacs ajaribu kuharibu kwa -If I Don't Have You

Au GREGORY ajaribu kuzima kwa-My ONLY Lover


Halafu ajaribu tena kuzima  kwa-HUSH DarlingHalafu azime kwa-Cool down the PACE


7 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:

Mija Shija Sayi 8:38 am  

Mbona picha ni kama una masikitiko kulikoni tena?

Pamoja daima..

Simon Kitururu 8:45 am  

Nimepoteza KIDUDE Damija!:-(

Chacha o'Wambura a.k.a Ng'wanambiti! 9:58 am  

Hajapata juice ya ukwaju huyo...lol @Da Mija

Yasinta Ngonyani 11:36 am  

Naungana na dada Mija unaonekana kweli una huzuni..Nimependa miwani yako ya jua lakini pia umependeza ingawa unaonyesha huzuni..

emu-three 4:30 pm  

Mkuu ulikuwa umechanganya nini....mmmh,`nyika na vome'

Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) 2:43 am  

Baraka huko uliko; na hata urudipo !

Egidio Ndabagoye 1:04 pm  

Mtakatifu! mtakatifu!

Idumu Jumuiya Ya Wanablogu Tanzania


Photo Sharing and Video Hosting at Photobucket

Partner

save mt. Kenya campaign
In partnership with africapoint.com

Taswira BANANGENGE

There was an error in this gadget

  © Blogger templates Romantico by Ourblogtemplates.com 2008

Back to TOP