Kwa kuwa labda ``MAADILI ndiyo KICHAA´´- wacha WAJANJA wajitafutie tu MKE au BWANA zaidi ya MMOJA kiMAADILI!!!
>> Sunday, May 20, 2012
Kabla sijaanzisha kubenjua TARALILA:
- Unauhakika katika MAADILI kuna mwenye MKE au MME mmoja .... bila kusahau KIPENZI hata kama ni KIKITU tu?:-(
Yasemekana siri ya USAHIHI wa kitu ni MAADILI,....
.... tena ambayo MTU mpaka JAMII hujifunza tu KIMAPOKEO.
Swali:
- Lakini si ikumbukwe pia USAHIHI wa MAADILI nayo ni kitu-na sio tu USAHIHI wa KITU ndio MAADILI?
- Si ndio maana kwa MAADILI kwa Rais OBAMA katika kitu kama USENGE kwake ni SAHIHI hata kama kwa MWINGINE amzimiaye RAIS OBAMA kwa MAADILI MENGINE - hayo ya OBAMA kutopinga UTOAJI MIMBA sio MAADILI?
Na kikubwa katika MENGI yaonekanayo ni SAHIHI au sio SAHIHI,...
...... labda tukumbuke NI za watu TU za kitu TAFSIRI.:-(
Swali:
- Si inawezekana LAKINNI ni KWELI usahihi wa MAADILI ya WATU ni TAFSIRI tu za MTU?
Na ndio,....
.... labda kitu SAHIHI bado ni SAHIHI tu hata kama kimaadili yako,....
......weye hicho kwako ni DHAMBI na UTOVU wa NIDHAMU hata kwa MUME kumfanyia mnyonyo wa kisicho adili kivyako MKE WAKE wa ndoa CHUMBANI kimaadiliyo binafsi ambayo kwao ni SWAFI KABISA.:-(Swali:
- AU?
Ndio,....
.... na usishangae,....
.... katika JAMII hii yetu ya sikuhizi ya KINAFIKI,....
.... labda yaliyo SAHIHI ndiyo yaonewayo AIBU kisa kimaadili ya JAMII hayo yamekaa UCHI na kwa hiyo ndiyo YAAIBU na kwa waungwana inabidi yafungiwe macho na MASIKIO,...
... au ikibidi MSTAARABU ajifanye hatambui kuwa YAPO katika JAMII yake kama sio mpaka kwenye FAMILIA YAKE!:-(
Ni wazo tu hili MHESHIMIWA!
Halafu hebu GAHAFLA turudi Africa KUSINI ili Abdullah Ibrahim aka Dollar Brand...
.... aingilie kati na kubadili mchezo kwa - Soweto - Sathima (part)
Dollar Brand aongezee-Mannenberg
Abdullah Ibrahim na Ekaya waongezee dozi kwa - The Mountain / Nisa / Mississippi
Huyu huyu Abdullah Ibrahim aongezee - Cape Town Flower
Ila tu tena hapa hapa KUSINI ya AFRIKA hebu Ringo Madlingozi azime kwa -Into Yami
4 KOMENTI a.k.a Maoni. :-(:
Siasa a.k.a sihasa ni mfumo makini na mahiri kwa wanazuoni waliohitimu katika tasnia kutoa madokezo kwa jamii yao.Ukizamia kwenye tasnia hii uwe mwenye uwezo katika itikadi na muwezeshaji katika uenezi wa propoganda.Wewe ni binadamu na kujizuia kusikia kamwe huwezi lakini kunyamaza ni katika uwezo wako.Hakika siasa siyo uga wa kila kiumbe na daima zilongwa ni mbali kabisa na zitendwazo.Wainaimba kiswahili wanacheza kidachi.
Asalaam aleykum!!
Ndio hapooo!@Mkuu Ray Njau
Napita mawazoni...wanaimba kiswahili wanacheza kidachi duuh
Karibu sana Ambiere!@Kikore Chediel
Post a Comment